Mwanamke anapoingia katika swala akawa katika rukuu na kusujudu, hasa wakati wa kusujudu na kikao baina ya sijda 2 na kikao cha tahiyatu hewa ikatoka katika tupu yake ya mbele kiasi wakasikia waliomzunguka, je swala ya mwanamke itabatilika kwa hilo? Na wakati mwengine Inatoka hewa kidogo hasikii yoyote je inabatilisha udhu na swala pia?
Jawabu:
Kutoka hewa katika tupu ya mbele hakuchangui udhu.
Chanzo: Kamati ya kudumu ya kutoa fat'wa-Saudia