Nini hukmu ya unyevunyevu unaotoka katika utupu wa mwanamke?
Jawabu:
"Una hukmu ya mkojo katika unajisi, lakini kama utakuwa unaendelea basi hukmu yake itakuwa kama mwenye ugonjwa wa kutoweza kujizuia na mkojo"
Chanzo: Sheikh Abdurazzak Afiify. (رحمه االه)