Ujenzi wa msikiti uliyopo chini ya Ibn Taymiyyah Salaf Foundation unaopatikana maeneo ya ya Dumizi, Tanga unaendelea kama inavyoonekana katika picha. Unaweza kuchangia ujenzi huu kwa kupitia account za bank na namba za simu hizo hapo chini.
CRDB: 0133617870400 - Ibn Taymiyyah Salaf Foundation
AMANA BANK: 008140392430003 - Ibn Taymiyyah Salaf Foundation
Vodacom mpesa: 0768140636 - Ibn Salaf Foundation